Vunja Mbavu 4.0.9

Lisans: Ücret -siz ‎Dosya boyutu: 3.04 MB
‎Kullanıcı Derecelendirmesi: 2.5/5 - ‎7 ‎Oy

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vichekesho Vioja Katuni Makala Simulizi Siasa Jamii Picha Video İngilizce: Vunja Mbavu kullanıcıların arama ve Swahili dilinde yazılmış şakalar okumak sağlayan bir uygulamadır. Gülüşün mutluluk yaşamLarına etki edebileceğine inanıyoruz ve gülüşün stresli insanlara ilaç tan daha fazlası olduğuna inanıyoruz. Vunja Mbavu uygulaması herkesi güldürebilir ve eğlenebilirsiniz farklı şakalar bir koleksiyona sahiptir. İyi olan şey; Vunja Mbavu herkes için bile aile şakaları çünkü biz küfürlü dilleri düzenleyen ve herkesin küfürlü sözler duymadan gülebilir inanıyorum.

sürüm geçmişi

  • Sürüm 4.0.9 tarihinde gönderildi 2016-02-13

Program Detayları